Jasinta Makwabe Asema Mahari Yake ni milioni 20 na Ng'ombe 10
Mwanamitindo na muigizaji Jasinta Makwabe amefichua thamani ya mahari yake, akieleza kuwa mchumba wake ametoa ng’ombe 20 pamoja na shilingi milioni 10 za Kitanzania.
“Ng’ombe 20 na milioni 10 ametokwa kijana, so tuliza mshono. Sisi wengine ni mila, lazima wazitoe tu,” aliandika Jasinta akimjibu shabiki mmoja aliyehoji kuhusu mahari yake.
Jasinta alifanyiwa sherehe ya ‘send-off’ siku ya wapendanao, Februari 14, 2025, na sasa kinachosubiriwa ni ndoa rasmi.
Thamani ya mahari ya Jasinta inakaribia ile ya mwanamitindo Hamisa Mobetto, ambaye alipewa ng’ombe 30 na mchumba wake, Aziz Ki