LadyJay Dee Kuja Na Documentary Ya Maisha Yake

 Lady JayDee Kuja Na Documentary Ya Maisha Yake

Lady JayDee Kuja Na Documentary Ya Maisha Yake

Mwimbaji mkongwe wa Bongofleva, Lady Jaydee amesema ana mpango wa kuja na documentary kuhusu maisha yake tangu alivyoanza muziki.

Lengo la Jide ni kikaa kiu ya mashabiki wake ambao wamekuwa kila mara wakimuuliza kadhaa kuhusu safari yake ya muziki hadi alipofikia sasa.

Wote mnaoongea hayo hamnifahamu hata kidogo na nikianza kumuelezea mmoja mmoja nitaota mvi zaidi ya hizi nilizonazo” amesema.

“Nawasihi mvumilie hadi nitakapotoa documentary ya maisha yangu ili wote mpate kufahamu mnachohitaji toka kwangu,” amesema Lady Jaydee kupitia X, zamani Twitter.


More Stories About Lady Jaydee


  • Lady Jaydee new album 2023: Her latest album, "Love Sentence," released in 2023, has garnered significant attention.

  • Lady Jaydee The Voice Africa: Her role as a coach on the inaugural season of The Voice Africa has piqued interest.

  • Lady Jaydee latest single 2024: Her single "I FALL IN LOVE," released on December 9, 2024, has attracted attention.

  • Lady Jaydee collaborations: Her work with artists such as Diamond Platnumz on "Together Remix" and Harmonize on "Wife" continues to be of interest.

  • Lady Jaydee biography: Information about her early life, musical journey, and achievements remains a popular search topic.

  • Lady Jaydee social media: Fans often look for her official profiles, especially her Youtube channel.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post