MUONEKANO WA UWANJA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU - DODOMA
byBongo Stream-
0
MUONEKANO WA UWANJA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU - DODOMA
Muonekano wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Dodoma ambapo leo Februari 13 2025 Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatarajia kutia saini Mkataba wa Ujenzi kwa ajili ya kuanza ujenzi wa uwanja huo.