Mechi kati ya yanga sc vs Mashujaa fc kutoka kigoma imemalizika Kwa yanga kuibuka mshindi wa BAO 5 dhidi ya wenyeji wao Mashujaa waliopoteza siku ya Leo ambapo yanga atasalia kileleni akiwa na alama 55 kwenye msimamo wa ligi kuu nbc premier league 24/25